Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza kabisa tokea yalipoanza mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen amesikika akitoa kauli ya kutaka mashambulio hayo ya kijeshi yakomeshwe mara moja.
Habari ID: 3159650 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/17