IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mheshimiwa Masoud Pezeshkian, ametoa wito wa kuimarishwa kwa umoja na ushirikiano miongoni mwa nchi za Kiislamu, akisisitiza kuwa mshikamano wa Ummah mzima wa Kiislamu ni nguzo muhimu katika kukabiliana na vitisho na changamoto zinazokabili eneo la Magharibi mwa Asia.
Habari ID: 3482292 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/27
IQNA – Eid al-Adha, ambayo ni miongoni mwa sikukuu adhimu zaidi katika Uislamu, ni ukumbusho wa kisa cha kihistoria cha imani, taslimu (kujisalimisha kwa Allah), na kujitolea.
Habari ID: 3482291 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/27
IQNA – Maelfu ya waumini wa Kiislamu wameadhimisha swala ya Eid al-Adha katika Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa, katika mji mtakatifu wa Al-Quds, siku ya Jumatano.
Habari ID: 3482290 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/27
Eid al-Adha, au Sikukuu ya Sadaka, ni moja ya hafla za furaha na baraka kwa Waislamu kote ulimwenguni, Ni sikukuu ya pili kuu kwa Waislamu baada ya Eid al-Fitr.
Habari ID: 3477212 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/28
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe viongozi wa nchi za Kiislamu akimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Habari ID: 3329111 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18