iqna

IQNA

Jamii ya kimataifa inaendelea kulaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3306740    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/23

Maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya wanachuo watatu Waislamu ambao waliuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Chapel Hill jimbo la Carolina Kaskazini.
Habari ID: 2846215    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/13

Makamu wa zamani wa rais wa Misri Mohammad El Baradei Ijumaa ametuma aya ya Qur’ani kupitia mtandao wa kijamii wa twitter kujibu hujuma za kigaidi zilizotekelezwa na wanamgambo katika eneo la Sinai nchini Misri ambapo watu 30 waliuawa.
Habari ID: 2790529    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31

Rais Francois Hollande wa Ufaransa amepinga kuweko uhusiano wowote kati ya wafanya mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris na dini ya Kiislamu.
Habari ID: 2692011    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/10

Katibu Mkuu wa Muungano wa Maulamaa wa Kiislamu Duniani amelitaka kundi la kigaidi la Daesh kuacha mara moja kutenda jinai dhidi ya wanadamu.
Habari ID: 1454356    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/27