IQNA – Mkutano wa kimataifa kuhusu mustakabali wa dunia na masuala mapya ya kifalsafa utafanyika mtandaoni tarehe 20 Novemba, sambamba na Siku ya Falsafa Duniani.
Habari ID: 3481524 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/16
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa mustakbali wa Iran unang'ara na unaambatana na maendeleo, uwezo na ushawishi wa kila siku katika kanda hii na dunia nzima.
Habari ID: 3385744 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/15