TEHRAN (IQNA)- Wanawe wawili wa kiume wa aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak wameondolewa hatiani na mahakama katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya uuzaji hisa za benki kinyume cha sheria miaka minne kabla ya mwamko wa mwaka 2011 uliopelekea baba yao kuondolewa madarakani baada ya miaka 30 ya utawala wake wa kidikteta.
Habari ID: 3472494 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/22