Maadili katika Qur'ani / 11
TEHRAN (IQNA) – Kusengenya ni tabia isiyofaa inayoathiri vibaya jamii. Ni dhambi kubwa ambayo Qur'ani Tukufu imewatahadharisha waumini wajiepuke nayo.
Habari ID: 3477264 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/10
Maadili katika Qur'ani / 9
TEHRAN (IQNA) – Uislamu unapinga vikali mabishano na majibizano kwa sababu aghalabu ya wanaojihusisha nayo hujichafua kwa chuki na upendeleo, na hulenga kupata ushindi bila kuwa na nia ya kubainisha ukweli.
Habari ID: 3477243 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/05
Maadili katika Qur'ani / 9
TEHRAN (IQNA) – Tangu Adam (AS) alipokuja duniani hadi Siku ya Kiyama, matatizo mengi yanayowakabili wanadamu yanaweza kutatuliwa ikiwa tutafaulu kuwa na hulka njema.
Habari ID: 3477231 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/03
Maadili katika Qur'ani / 4
Watu wenye hamu sana ya kusonga mbili wakati mwingine hutumia vibaya hisia za wengine kufikia madaraka na matamanio yao mengine.
Habari ID: 3477131 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/11
Maadili katika Qur'ani /2
Kwa kawaida watu hawapendi kuwa chini ya udhibiti wa wengine au imani yoyote. Wanapenda kuishi kwa uhuru lakini wengine hawajui nguvu ya ndani inayowaweka mbali na uhuru wa kweli.
Habari ID: 3477115 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07
Maadili katika Qur'ani /2
TEHRAN (IQNA) – Katika maingiliano ya binadamu, kuheshimiana ni miongoni mwa kanuni muhimu zinazosaidia kukuza urafiki na mapenzi miongoni mwao.
Habari ID: 3477083 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02
Maadili katika Qur'ani /1
TEHRAN (IQNA) – Wivu au uhasidi ni uovu mbaya wa kimaadili uliosababisha kesi ya kwanza ya mauaji ya kindugu na umwagaji damu baada ya kuumbwa kwa Adam (AS).
Habari ID: 3477066 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/29