iqna

IQNA

Kimbunga cha Al-Aqsa
GAZA (IQNA) - Makabiliano kati ya muqawama wa Palestina na wanajeshi wa Israel yanaendelea kufuatia uzinduzi wa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa siku ya  Jumamosi kutoka Gaza
Habari ID: 3477715    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11

TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi wa Jihadi ya Kiislamu ya Palestina alielezea operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa kama jibu la asili kwa ukandamizaji wa miaka mingi na ukaliaji.
Habari ID: 3477711    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11

Kimbunga cha Al-Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ametoa mwito kwa Waislamu kote duniani kuwaunga mkono, kuwahami na kuwasaidia wananchi wa Palestina, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kufanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477709    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10

GAZA (IQNA) - Tangu kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza tarehe 7 Oktoba, utawala huo dhalimu umeshambulia kwa mabomu na kuharibu misikiti saba katika eneo hilo la Palestina lililozingirwa.
Habari ID: 3477708    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utachapwa "kibao kikali zaidi" kwa mauaji inayoendelea kufanya dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza iliouwekea mzingiro.
Habari ID: 3477707    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10

TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Hamas amepongeza operesheni ya hivi karibuni iliyozinduliwa Gaza kama sura mpya katika makabiliano dhidi ya wavamizi wa Israeli.
Habari ID: 3477703    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/09

GAZA (IQNA) - Zaidi ya wakazi 120,000 wa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wameyakimbia makazi yao kutokana na mzozo unaoendelea kati ya vikosi vya upinzani na jeshi la Israel, Umoja wa Mataifa ulisema.
Habari ID: 3477702    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/09

CAPE TOWN (IQNA) - Jumuiya ya Waislamu huko Cape Town, Afrika Kusini ilifanya mkutano ili kutoa msaada na ushirikiano kwa watu wa Palestina.
Habari ID: 3477701    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/09

TEHRAN (IQNA) –Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.
Habari ID: 3477700    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/08

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Jeshi katili la Israel siku ya Jumamosi lilianzisha mashambulizi ya anga kwenye Ukanda wa Gaza, na kuua Wapalestina wasiopungua 198, wakiwemo wanawake na watoto, katika eneo hilo.
Habari ID: 3477699    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/07

Muqawama (Mapambano)
TEHRAN (IQNA)- Wapigania ukombozi wa Palestina leo wametekeleza operesheni kubwa zaidi na ya kihistoria dhidi ya utawala dhalimu na wa kikoloni wa Israel ambapo idadi kubwa ya wanajeshi wa Kizazyuni na walowezi wa Kizayuni wameangamizwa.
Habari ID: 3477698    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/07