iqna

IQNA

Afisa wa Umoja wa Mataifa
Afisa wa ngazi za juu katika Umoja wa Mataifa amesema Waislamu Zaidi ya 120,000 nchini Myanmar wanaishi katika hali mbaya sana wakiwa katika kambi za wakimbizi wa ndani ya nchi.
Habari ID: 3470615    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/16

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa Myanmar itakumbwa na mgogoro mkubwa iwapo uchaguzi wa wiki ijayo hautazingatia vigezo muhimu ikiwa ni pamoja na kuwapa Waislamu haki ya kupiga kura.
Habari ID: 3421779    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/31

Mabudhha wenye misimamo mikali nchini Myanmar tayari wametangaza 'ushindi' dhidi ya Waislamu nchini humo katika uchaguzi utakaofanyika Novemba baada ya kupitishwa sheria tata dhidi ya Waislamu ambayo inawanyima Waislamu wa kabila la Rohingya haki ya kupiga kura.
Habari ID: 3360047    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/07

Umoja wa Mataifa umetoa indhari kuhusu wimbi jipya la wakimbizi wa Myanmar na Bangladesh wanaoelekea katika eneo la Asia Mashariki na yamkini jambo hilo likaibua maafa ya kibinadamu.
Habari ID: 3354581    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/31