iqna

IQNA

Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi kuhusu hali waliyo nayo Waislamu wa kabila la Rohingya wa huko Myanmar.
Habari ID: 3001295    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/17

Serikali ya Myanmar imetangaza kuwa, Waislamu wa kabila la Rohingya hawana haki ya kupiga kura katika kura ya maoni ya katiba ya nchi hiyo.
Habari ID: 2846218    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/13

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linaloitaka serikali ya Myanmar kuwapa haki kamili ya uraia Waislamu wa Rohingya.
Habari ID: 2663155    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01

Wafanya magendo ya binadamu wanawatumia vibaya wakimbizi Waislamu wanaokimbia mauaji na unyanyasaji wa kuchupa mipaka nchini Myanmar.
Habari ID: 2613658    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/01

Makundi ya kutetea haki za binadamu yamearifu kuwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya wamelazimishwa kuondoka nchini Myanmar katika wiki 3 ziliopita kutokana mpango mpya wa serikali uliozusha mjadala.
Habari ID: 1471524    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/09

Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar wangali wanaishi katika hali ngumu na mazingira mabaya na makumi ya maelfu miongoni mwao wanakabiliwa na uhaba wa chakula, maji na huduma za afya.
Habari ID: 1437511    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/09

Mwislamu aliyekuwa na umri wa miaka 65 amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na polisi wa utawala wa Mabuddha nchini Myanmar.
Habari ID: 1402630    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/03

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani hatua mpya ya serikali ya Myanmar kuondoa jina jamii ya Waislamu wa Rohingya katika takwimu rasmi za nchi hiyo.
Habari ID: 1397232    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/19