iqna

IQNA

Turathi za Kiislamu
IQNA - Mji wa Samarra katika jimbo la Salah al-Din, katikati mwa Iraq, unakaribia kuitwa mji mkuu wa ustaarabu wa Kiislamu. Baraza la mawaziri la Iraq liliamua mnamo 2020 kuongeza hadhi ya Samarra kama mji mkuu wa kitamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479753    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15

IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Iran amelaani hujuma za kigaidi iliyopelekea watu wasiopungua 24 kuuawa katika miji ya Samarra na Tikrit nchini Iraq siku ya Jumapili.
Habari ID: 3470660    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/07