iqna

IQNA

sala
Idul Fitr
IQNA - Makumi ya maelfu ya waumini leo Jumatano asubuhi walikusanyika kwenye Uwanja  wa Swala wa Mosalla Imam Khomeini katika mji mkuu wa Iran, Tehran, kwa ajili ya  Sala ya Idul Fitr inayoashiria kumalizika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478667    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
IQNA-Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema shambulio la makombora la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) dhidi ya kituo kikuu cha ujasusi cha shirika la ujasusi la utawala haramu wa Israel (Mossad) katika eneo la Kurdistan ya Iraq limetoa onyo kali mkabala wa tishio la Wazayuni.
Habari ID: 3478219    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/19

Ibada
IQNA – Sala ya Istisqa (ya kuomba mvua) imepangwa kusaliwa kwenye haram tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478211    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Watetezi wa Palestina
IQNA- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na muqawama au wanamapambano wa Kiislamu wa Wapalestina wa Gaza vimefichua kuwepo nidhamumifumo na miundo kadhaa ya kisiasa duniani, sambamba na kuonyesha kuwepo stratejia mpya ya kambi ya muqawama katika eneo.
Habari ID: 3478038    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/15

Waziri wa elimu wa Ufaransa anasema mwili wake hauwezi kuvumilia maombi ya wanafunzi Waislamu shuleni kote nchini.
Habari ID: 3477164    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/19

Sikukuu ya Idul Fitr
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika hotuba za Sala ya Idul Fitr amesisitiza kuwa, irada iliyoimarika kitaifa itatatua matatizo ya nchi.
Habari ID: 3476901    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Katika aya ya 238 ya Sura al Baqarah Qur'ani Tukufu imewataka Waislamu kuzingatia ipasavyo Sala
Habari ID: 3476793    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/01

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Wanadamu wanamkumbuka Mwenyezi Mungu kwa sifa na majina tofauti. Sifa hizi zinarejelea katika ukuu, nguvu, na huruma ya Mungu miongoni mwa sifa zingine.
Habari ID: 3475879    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Ibada
TEHRAN (IQNA) – Sala ni moja ya nguzo za Uislamu na Waislamu wanaamini kuwa ibada hii ni daraja linalowaunganisha na Mwenyezi Mungu SWT. Kwa hivyo, Sala ni muhimu sana kwa kila Muislamu.
Habari ID: 3475610    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11

TEHRAN (IQNA)- Hayya Alal Falah ni sehemu ya Adhana au wito wa Sala katika Uislamu na maana yake ni Haya njooni kwenye kufaulu, mafanikio au wokovu.
Habari ID: 3475252    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya waumini wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr katika eneo lililo baina ya Haram Mbili Takatifu za Imam Hussein AS na Hadhrat Abbas AS linalojulikana kama Bayn al-Haramayn katika mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3475203    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza kuwa, Sala ya Istisqa yaani Swala ya Kuomba Mvua itaswaliwa nchini humo.
Habari ID: 3474479    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27

TEHRAN (IQNA)- Waumini zaidi ya 60 wameopoteza maisha katika hujuma kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia huku katika mji wa Kunduz kaskazini mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3474397    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08

TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Waislamu Fiji limetangaza kuwa misikiti itafunguliwa tena nchini humo kuanzia Oktoba nne lakini watakaoruhusiwa ni wale tu waliopata chanjo kamili ya COVID-19 au corona.
Habari ID: 3474371    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02

TEHRAN (IQNA)- Misikiti ya Oman imeidhinishwa kuanza tena Sala za Ijumaa baada ya kufungwa kwa muda wa mwaka moja na nusu kutokana na janga la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474328    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23

TEHRAN (IQNA)- Sherehe za Idul Adha zimefanyika kote duniani ambapo katika baadhi ya nchi zimefanyika Jumanne na maeneo mengine jumatano.
Habari ID: 3474118    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/22

TEHRAN (IQNA)-Sala ya Idul Adha itaswaliwa katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) wiki ijayo.
Habari ID: 3474100    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/14

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina karibu laki moja wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr leo Alkhamisi asubuhi katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) licha ya sheria kali zilizowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel ambao siku chache zilizopita wanajeshi wa utawala huo katili waliwashambulia kwa mabomu Waislamu waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti huo.
Habari ID: 3473906    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/13

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Iran wamejiunga na wenzao katika baadhi ya maeneo ya dunia katika sherehe za Idul Fitr. Hapa Tehran sawa na miji mingine ya Iran wuamini wamesali Sala ya Idul Fitr kwa kuzingatia kanunni za kuzuia kuenea corona.
Habari ID: 3473904    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/13

Janga la corona
TEHRAN (IQNA) – Maulamaa mashuhuri nchni Pakistan wametaka serikali iondoe marufuku ya sala za jamaa misikitni nchini humo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472671    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/16