TEHRAN (IQNA) – Katika aya ya 238 ya Sura al Baqarah Qur'ani Tukufu imewataka Waislamu kuzingatia ipasavyo Sala

Zilindeni Sala, na khasa Sala ya katikati, na simameni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu nanyi ni wenye kuqunuti (kunyenyekea)