sala - Ukurasa 2

IQNA

Janga la corona
TEHRAN (IQNA) – Maulamaa mashuhuri nchni Pakistan wametaka serikali iondoe marufuku ya sala za jamaa misikitni nchini humo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472671   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/16

TEHRAN (IQNA) - Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuwajeruhi Wapalestina kadhaa waliokuwa wamefika hapo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3472423   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/31

Khatibu wa Swala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA) - Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria mapambano ya Kiislamu (muqawama) na kusimama kidete wananchi wa Syria, Lebanon, Iraq, Bahrain na Yemen mbele ya mabebebu na waistikabari na kusisitiza kuwa, somo la Ashura na harakati ya Imam Hussein AS ni chimbuko la muqawama wa wananchi wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
Habari ID: 3472128   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/13

Kiongozi Muadhamu:
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, njia bora kabisa ya kuwa karibu na Mwenyezi Mungu ni kushikamana na Sala na kusoma Quráni.
Habari ID: 3470741   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/14

IQNA-Nchini Japan kumeshuhudiwa ongezeko la vyumba maalumu kwa ajili ya Waislamu kusimamisha sala katika maeneo ya umma.
Habari ID: 3470661   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/07

Ayatullah Ahmad Khatami
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa wiki mjini Tehran amesema kundi la kigaidi la Daesh au ISIS matakfiri kwa ujumla ni mamluki wa Wazayuni ambao wametumwa kwa lengo la kuwagombanisha Waislamu.
Habari ID: 3454898   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran ameelezea masikitiko yake kuhusu kimya cha Umoja wa Mataifa na taasisi zingine za kimataifa kuhusu mauaji yanayoendelea dhidi ya watu wasio na hatia nchini Yemen.
Habari ID: 3353340   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29

Kundi la kigaidi na Kitakfiri la Daesh (ISIS) limetangaza kuwapiga marufuku Waislamu kusali Sala ya Idul Fitr baada ya kumalizika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3327619   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13

Waislamu wa madhehebu ya Shia na wenzao wa Ahlu Sunnah, wamesali pamoja katika moja ya misikiti ya mkoa wa Qatif, mashariki mwa Saudia.
Habari ID: 3324232   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/07

Kikao cha 23 kikuu cha Sala nchini Iran kimefunguliwa Jumatano kwa ujumbe wa Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mjini Ahwaz (kusini magharibi mwa Iran).
Habari ID: 2663165   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01

Ayatullah Khatami
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, 'kundi la kigaidi la Daesh ni silaha mpya ya Marekani na madola mengine ya kibeberu inayotumiwa kwa lengo la kuvuruga usalama wa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 1422882   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/27