Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Gambia imesema itaheshimu haki za raia na wakaazi wote nchini humo wakiwemo Wakristo na wengine.
Habari ID: 3470210 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/22
Rais Yahya Jammeh wa Gambia ameitangaza nchi yake kuwa Jamhuri ya Kiislamu itangaza hatua hiyo na kusema kuwa, kuanzia sasa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unatawala nchini humo ikiwa ni katika juhudi za kutoa utambulisho kwa thamani za kidini.
Habari ID: 3462295 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12