IQNA – Mwandishi Mkristo kutoka Lebanon amemwelezea Bibi Fatima Zahra (SA) kuwa kielelezo kamili cha fadhila, akisema kuwa yeye ndiye nguzo ya imani na heshima ya mwanamke.
Habari ID: 3481655 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/13
TEHRAN (IQNA)-Misri hivi sasa iko katika hali ya tahadhari ya juu kufuatia hujuma mbili za kigaidi zilizolenga makanisa ya Wakristo wa Kikhufti katika miji ya Tanta na Alexandria na kuua watu 49 siku chache zilizopita.
Habari ID: 3470944 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/21
Profesa Mkristo katika Chuo Kikuu cha Kikristo huko Illinois Marekani aliyevaa hijabu kubainisha mshikamano wake na Wamarekani Waislamu wanaobaguliwa ametimuliwa chuoni hapo.
Habari ID: 3465818 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19