iqna

IQNA

IQNA-Ramadhan Mushahara, Mpalestina mwenye umri wa miaka 49, amechapisha kitabu kiitwacho “Qur'ani kwa Wanaohifadhi”. Aliandika kitabu hiki akiwa gereza za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel, licha ya vizuizi vikubwa vya gerezani .
Habari ID: 3480636    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04

TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika magereza ya Australia wanakabiliwa na mateso, udhalilishaji na ukandamizaji mikononi mwa maafisa wa gereza.
Habari ID: 3471219    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/16

TEHRAN (IQNA)-Imebainika kuwa katika gereza moja lililo katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wamejaa mahafidh wa Qur ‘anI Tukufu wakitumikia kifungo, wengine
Habari ID: 3471045    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/02

Mahakama ya Misri leo imetoa hukumu ya mwisho dhidi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Muhammad Mursi na viongozi wengine wa Harakati ya Ikhwanul Muslimeen iliyopigwa marufuku nchini humo.
Habari ID: 3315286    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16