IQNA – Utawala wa Israel unakabiliwa na ukosoaji wa pamoja usio wa kawaida kutoka Hispania na Brazil baada ya jeshi lake la wanamaji kuwakamata raia wawili wa nchi hizo kutoka katika meli iliyokuwa ikielekea Gaza katika maji ya kimataifa, kitendo ambacho serikali zote mbili zimesema ni kinyume cha wazi cha sheria za kimataifa.
Habari ID: 3482192 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/02
IQNA – Waandaaji wa msafara mkubwa wa kibinadamu wa meli unaoelekea Gaza wamesema kuwa vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimejaribu kuuzuia msafara huo, kwa kuzuia baadhi ya meli katika maji ya kimataifa kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones), kuvuruga mawasiliano na askari waliopanda meli kwa nguvu.
Habari ID: 3482184 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/30
IQNA – Msafara wa meli unaojulikana kama Global Sumud Flotilla, unaolenga kuvunja mzingiro uliowekwa na utawala katili wa Israeli dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, umefika katika maji ya kimataifa karibu na pwani ya Ugiriki.
Habari ID: 3482179 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/29
IQNA – Wakielezea kama uhamasishaji mkubwa zaidi wa aina yake, wanaharakati wa kimataifa wametangaza mipango ya kupeleka meli 200 katika msafara wa misaada unaojulikana kama Freedom and Sumud Flotilla, wakilenga Ukanda wa Gaza katika majira ya kuchipua mwaka huu.
Habari ID: 3482002 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/27
IQNA – Idadi kubwa ya watu wameshiriki katika maandamano katika nchi mbalimbali kuonyesha mshikamano na Gaza na kulaani hatua ya Israel kuuteka nyara Msafara wa Meli wa Global Sumud uliokuwa umebeba misaada ya kibinadamu kuelekea eneo hilo a Wapalestina.
Habari ID: 3481319 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/03
IQNA – Waandalizi wa msafara wa Qur’ani kutoka Iran wametangaza ongezeko la asilimia 5 katika shughuli za Qur’ani wakati wa ziyara na matembezi Arbaeen mwaka huu nchini Iraq ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Habari ID: 3481121 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/22
QNA – Msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran, unaojulikana mwaka huu kama “Msafara wa Imam Ridha (AS)”, ulianza shughuli zake katika njia ya Arbaeen tarehe 8 Agosti 2025.
Habari ID: 3481109 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20
IQNA – Mwanaharakati mkongwe wa Qur’ani amesisitiza umuhimu wa msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran katika kueneza na kutambulisha sura ya Qur’ani ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3481051 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09
TEHRAN (IQNA)-Katika siku za kukaribia Wiladat ya Imam Ridha AS, Msafara wa wahudumu wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS iliyoko nchini Iran wametembelea Tanzania na kukaribishwa kwa taadhima na wafuasi pamoja na muhibina wa Ahul Bayt AS nchini humo.
Habari ID: 3471100 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/03