Chuki dhidi ya Uislamu
        
        ANKARA (IQNA)- Rais wa Uturuki amesema "Shambulizi la chuki dhidi ya kitabu chetu, Qur'ani, huko nchini Uswidi katika siku ya kwanza ya Sikukuu za Iddul Adh'ha, lilianika kiwango cha kutisha cha chuki dhidi ya Uislamu."
                Habari ID: 3477260               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/07/09
            
                        Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais wa Uturuki
        
        TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusema: Shambulio lolote la kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Syria litazidhuru Uturuki, Syria na eneo zima na Asia Magharibi na kuwanufaisha magaidi.
                Habari ID: 3475517               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/07/19
            
                        Kiongozi Muadhamu katika mkutano wa Rais wa Uturuki:
        
        TEHRAN (IQNA)-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano alionana na Rais Recep Tayyip Erdogan na ujumbe alioandamana nao hapa mjini Tehran.
                Habari ID: 3471205               Tarehe ya kuchapishwa            : 2017/10/05