Mazingira
IQNA - Msikiti wa kwanza wa Asia Magharibi ambao unazalisha nishati zaidi kuliko unavyotumia (net positive energy), umefunguliwa huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3479721 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
TEHRAN (IQNA)-Indonesia imetangza mpango wa kuzindia misikiti 1,000 ya 'kijani' kwa maana kuwa kwa maana kuwa ujenzi na utumizi wake umezingatia utunzwaji mazingira.
Habari ID: 3471268 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/18