syria - Ukurasa 8

IQNA

Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu OIC na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) zimetaka kusimamishwa mapigano huko Syria katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1424844    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/01

Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, amesema kuwa kushiriki kwa wingi Wa syria katika uchaguzi wa rais nchini humo ni thibitisho kwa ulimwengu kwamba, mashinikizo ya Wamarekani na madola ya Magharibi na Kiarabu dhidi ya Syria, yameshindwa.
Habari ID: 1414962    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/07

Mwanazuoni mmoja wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri amesema kuwa makundi ya Mawahabi na Matakfiri wanaoipinga serikali ya Syria wanapata himaya ya nchi za Magharibi.
Habari ID: 1405405    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/10

Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu,Hizbullah, nchini Lebanon amesema iwapo wanamapambano wa harakati hiyo wasingeliingia nchini Syria, makundi ya kigaidi na kitakfiri yangeliwanyanyasa wananchi wote wa Lebanon.
Habari ID: 1389973    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/30