iqna

IQNA

Rais wa ya Iran katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesemam kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza maamuzi na irada ambayo imekuwa ikichukua katika kuiunga mkono serikali na taifa la Syria kama nchi muitifakii wake wa kistratejia na itakuwa bega kwa bega na Syria hadi kupatikana ushindi wa mwisho.
Habari ID: 3473435    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08

TEHRAN (IQNA) - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha maazimio matano ya kuunga mkono Palestina na miinuko ya Golan ya Syria.
Habari ID: 3473417    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/03

TEHRAN (IQNA) – Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Ayman Sousan amemlaani vikali Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo kwa kutembelea Miinuko ya Golan ya Syria ambayo inakaliwa kwa mabavu na Israel na kusema ardhi hiyo hatimaye itarejea Syria.
Habari ID: 3473381    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/21

TEHRAN (IQNA) – Asasi moja ya kufuatilia mambo ya vita imesema uchunguzi wake umebaini kuwa Jeshi la Marekani limeua raia 13,000 nchini Iraq na Syria katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
Habari ID: 3473376    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/20

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid Muallem amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79, shirika rasmi la habari nchini humo SANA, limeripoti.
Habari ID: 3473366    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/16

TEHRAN (IQNA) - Rais Bashar al Assad wa Syria amesema Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi zinawazuia wakimbizi wa Syria wasirudi nchini kwao.
Habari ID: 3473351    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya wakimbizi wa Syria ambao walilazimika kutoroka nchi yao kutokana na vita sasa wanapaswa kuwezeshwa kurejea nyumbani kuijenga nchi yao ambayo aghalabu ya maeneo yako sasa yanashuhudia amani.
Habari ID: 3473345    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/09

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Nuruddin Attar, mfasiri na hafidh maarufu wa Qur’ani Tukufu nchini Syria ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 83.
Habari ID: 3473199    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24

TEHRAN (IQNA)- jeshi la kigaidi la Marekani wameiba malori 30 ya mafuta ya nchi hiyo na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.
Habari ID: 3473188    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/20

TEHRAN (IQNA) - Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa kundi la ISIS au Daesh ambao bado wanaendeleza harakati zao Iraq na Syria ikiwa imepita miaka miwili tokea kundi hilo lishindwe vitani katika nchi hizo.
Habari ID: 3473101    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/25

TEHRAN (IQNA) –Rais Bashar al Assasd wa Syria amesema Marekani inahitaji uwepo wa magaidi, hasa wa ISIS, katika eneo la Asia Magharibi na imetumia vikwazo vya hivi karibuni dhidi ya Syria ili kuwaunga mkono magaidi.
Habari ID: 3473067    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/14

TEHRAN (IQNA) – Jeshi la Marekani linaendelea kulaaniwa vikali kwa kuhatarisha usalama wa ndege ya abiria ya Iran iliyokuwa inaruka katika anga ya Syria ikielekea Lebanon.
Habari ID: 3472997    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25

TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Syria leo wanapiga kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa bunge la kitaifa.
Habari ID: 3472979    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/19

TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Syria imemfungua tena Haram Takatifu ya Bibi Zainab (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake -SA-) katika kiunga cha mji mkuu, Damascus, miezi miwili baada ya kufungwa.
Habari ID: 3472813    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/29

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Syria imetangaza kuanza swala za jamaa katika misikiti ya nchi hiyo kuanzia sikua ya Jumatano.
Habari ID: 3472808    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/27

Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema, ugaidi unaolenga siha za watu ni hatua mpya ya upande mmoja ya Marekani ambayo imeyaweka hatarini maisha ya watu bilioni mbili duniani.
Habari ID: 3472755    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11

TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema Baraza la Usalama la umoja huo limefeli kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleza maazimio ya baraza hilo kuhusu Palestina na Syria.
Habari ID: 3472699    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/24

TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar la Assad wa Syria leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif mjini Damascus ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya pande mbili, kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3472683    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/20

TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuendelea uungaji mkono wa Iran kwa Syria katika vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3472480    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/17

TEHRAN (IQNA) - "Iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza uvamizi au hatua yoyote ya kijinga dhidi ya maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria na katika eneo, basi utawala huo utapokea jibu kali ambalo litakuwa la majuto."
Habari ID: 3472466    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/13