iqna

IQNA

Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wametekeleza hujuma ya bomu na kuua watu 20 karibu na Haram ya Bibi Zainab SA katika viungo vya mji mkuu wa Syria, Damscus.
Habari ID: 3470376    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah imesema imeanzisha uchunguzi kubaini namna kamanda wake mwandamizi alivyopoteza maisha vitani nchini Syria.
Habari ID: 3470310    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/13

Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi wa kitakfiri zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470224    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/01

Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesema itatoa jibu kali kwa mauaji ya kamanda wake mwandamizi Samir Qantar, yaliyofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3468139    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Idadi ya raia wa kigeni waliojiunga na makundi ya magaidi wakufurishaji nchini Syria wameongezeka maradufu, amesema mkuu wa zamani wa shirika la kijasusi la Uingereza.
Habari ID: 3461648    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa malengo ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati yanatofautiana kwa daraja 180 na ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3432363    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/02

Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya baadhi ya wanazuoni wa Saudi Arabia ya kutangaza kile walichotaja kuwa Jihad dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Wakristo nchini Syria.
Habari ID: 3385681    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14

Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya amekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai na ukatili unaoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen na kusema kuwa taifa la Yemen litapambana hadi kupata ushindi.
Habari ID: 3383363    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Rais wa Iran na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametoa ujumbe tofauti kufuatia kuuawa shahidi Brigedia Jenerali Hussein Hamedani katika vita dhidi ya magaidi na kutoa mkono wa pole kwa wananchi wa Iran.
Habari ID: 3383361    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa Nickolay Mladenov Mashariki ya Kati amesema kunahitajika muungano wa kimatiafa wa kijeshi ili kuangamiza kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3363344    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/16

Wizara ya Awqaf nchini Syria imewatangaza washindi wa Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3362917    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/15

Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amesema kufa maji mtoto mkimbizi wa miaka mitatu kutoka Syria katika ufukwe wa Bahari nchini Uturuki ni aibu kwa jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3358323    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05

Kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limeweka sheria kali kwa wakaazi wa mji wa Mosul, Iraq ambao wanataka kuelekea katika safari ya kila mwaka ya ibada ya Hija.
Habari ID: 3354583    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/31

Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, migogoro ya Syria na Yemen inaweza kupatiwa ufumbuzi kupitia njia za kidiplomasia.
Habari ID: 3353725    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29

Sayyid Hassan Nasrallah
Sayyid Hassan Nasrallah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuutisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kati ya mafanikio makubywa ya harakati hiyo.
Habari ID: 3336437    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/28

Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, nchi ambazo ziliwapeleka magaidi nchini Syria ili wakauangushe utawala na muqawama wa nchi hiyo hivi sasa zinaeelekea kushindwa.
Habari ID: 3335403    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/26

Mji mkuu wa Syria , Damascus ni ulikuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la 'Vyombo vya Habari na Vita Dhidi ya Ugaidi.'
Habari ID: 3332772    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25

Magaidi wa kundi la Kitakfiri la Daesh au ISIS wamebomoa makaburi mawili ya kale ya Mawalii wa Allah SWT katika mji wa kihistoria wa Palmyra mkoani Homs nchini Syria.
Habari ID: 3318384    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/24

Hata baada ya kupita miezi kadhaa ya kusonga mbele kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika medani za vita kwenye nchi za Kiislamu, Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa serikali ya Washington bado haina stratijia kamili ya kukabiliana na kundi hilo.
Habari ID: 3313196    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/11

Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah ameuonya vikali utawala wa Israel kuhusu hujuma dhidi ya Lebanon.
Habari ID: 3311179    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06