iqna

IQNA

tafsiri
IQNA - Waziri wa zamani wa utamaduni wa Tunisia alibainisha kuwa Tafsiri ya Qur’ani ya Sheikh Muhammad al-Ṭahir ibn Ashur (1879-1973) ilikuwa ni tafsiri ya kwanza ya Qur’ani nzima katika eneo la Kiarabu la Maghreb.
Habari ID: 3478164    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07

Muhtasairi kuhusu Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu/1
TEHRAN (IQNA) – Tafsir ( tafsiri ) ni istilahi katika sayansi ya Kiislamu ambayo ina maana ya kueleza maana ya aya za Qur'an Tukufu na kutoa mafundisho kutoka kwayo.
Habari ID: 3475733    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04

TEHRAN (IQNA)- Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Al Azhar wamebainisha wasiwasi wao kuhusu pendekelezo la Bunge la Senate la Misri la kuandikwa 'Tafsiri ya Kisasa' ya Qur'ani.
Habari ID: 3474764    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04

TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kidini katika Bunge la Misri limeanza kujadili pendekezo la kuandika tafsiri mpya ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474707    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22

TEHRAN (IQNA)- Tafsiri ya kale ya Qur’ani Tukufu inahifadhi katika Jumba la Makumbusho la Nyaraka za Kale la Alexandria nchini Misri.
Habari ID: 3474297    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15

TEHRAN (IQNA)- Idara ya masuala ya kidini nchini Uturuki imetangaza mpango wa kuandika tafsiri mpya ya Qur'ani itakayaondikwa kwa mchango wa wanasayansi.
Habari ID: 3471452    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/03

Kikao cha 12 cha wasomi wafasiri wa Qur’ani Tukufu kimeanza Jumanne hii katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.
Habari ID: 3454168    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18