Waislamu nchini Marekani wamemkosoa vikali Ben Carson anayetaka kugombea kiti cha urais kwa tikiti ya chama cha Republican kufuatia matamshi yake kuwa Mwislamu hapaswi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani.
Habari ID: 3365872 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21
Kijana Mwislamu mwenye asili ya Afrika nchini Marekani amekamatwa na polisi kwa kushukiwa kwamba saa ya ukuta aliokuwa ametengeneza ilikuwa ni bomu.
Habari ID: 3364546 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/18
Shirikisho la Kimataifa la Basketboli FIBA limewaruhusi wachezaji wanawake Waislamu kuvaa Hijabu katika mechi za mchezo huo mashuhuri.
Habari ID: 3353719 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29
Kasisi mmoja nchini Nigeria ametamka shahada mbili na kuwa mfuasi wa dini Tukufu ya Kiislamu na baada ya hapo akaligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3339749 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07
Kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Minnesota Marekani, wasichana Waislamu katika eneo la Minneapolis wamebuni mavazi mapya ya timu yao ya baskatboli, mavazi ambayo yanazingatia mipaka ya Kiislamu.
Habari ID: 3313760 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13
Mtoto Mwislamu mwenye umri wa miaka miwili amepigwa risasi na kuumizwa vibaya kichwani katika mji wa Bradford nchini Uingereza.
Habari ID: 3304654 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18
Kijana wa Mwislamu anayejulikana kwa jina la Lassan Bathily amekuwa shujaa nchini Ufaransa baada ya kuwaokoa wanunuzi Mayahudi wakati watu wenye silaha walipolivamia jengo la biashara ya Hyper Cacher mjini Paris siku chache zilizopita.
Habari ID: 2706293 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/13
Mwanamke Mwislamu mwenye umri wa miaka 27 ameteuliwa kuwa waziri wa elimu nchini Sweden na hivyo kumfanya kuwa waziri wa kwanza Mwislamu katika nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 1459694 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12
Rais wa mpito wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bi. Catherine Samba Panza, amemteua Mohammad Kamoun kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 1438785 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/12