Katika kikao hicho wataalamu watachunguza uhusiano uliopo kati ya upendo na sheria katika fasihi za dini ya Kiislamu na Kikristo, mazungumzo kati ya dini mbalimbali kwa kutegemea msingi wa upendo na sheria, taathira za nadharia za kidini katika jamii na uhusiano wake na demokasia.
Wahitimu katika taaluma za teolojia, sheria za Kiislamu, elimu jamii, anthropolojia na siasa wanaweza kutuma makala zao katika kikao hicho. 629358