IQNA

Nafasi ya wanawake katika mapinduzi ya Misri kujadiliwa

2:51 - November 02, 2011
Habari ID: 2216067
Kikao cha kitaalamu kilichojadili nafasi ya wanawake katika mapinduzi ya Misri kimefanyika leo tarehe Mosi Disemba mjini Tehran kwa hima ya Jumuiya ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu.
Kikao hicho kimehudhuriwa na ujumbe wa wasomi wa kike kutoka Misri na waandishi habari.
Wasimamizi wa kikao hicho wamewaalika waandishi wa habari kuakisi mijadala na mazungumzo ya washiriki katika mkutano huo. 891320
captcha