Kabla ya hapo jamii ya wanasheria wa Ireland ilikuwa imewataka kwa
siri wanachama wake wahakikishe kuwa watumie vitabu vitakatifu kutekeleza viapo vya watu wanaowawkilisha.
Kwa mujibu wa sheria hiyo, Wakristo na Mayahudi nao wanatakiwa kula viapo kwa kutumia vitabu vyao.
Takwimu zinaonesha kuwa, hadi mwaka 2013, Ireland ilikuwa na karibu watu milioni nne na nusu huku idadi ya Waislamu ikiwa ni zaidi ya elfu hamsini.
Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, gazeti la Sunday Independent limeripoti kuwa, Peter Kelly, Jaji wa
Mahakama Kuu ya Ireland ametoa amri ya kuwawajibisha mawakili nchini
humo kuapa kwa kutumia vitabu vyao vitakatifu.