IQNA

16:24 - August 12, 2020
News ID: 3473059
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya Qur’ani Tukufu ya moto Muafrika akisoma Qur’ani Tukufu kwa ustadi imesambaa katika mitandao ya kijamii.

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, mtoto huyo Muafrika ambaye jina lake halikutajwa anasikika akisema aya za 21 hadi 23 za Surah Al-Hashr. Wengi waliosikiliza qiraa hiyo wamesema motto huyo ana mustakabali mwema wa usomaji Qur’ani Tukufu.

Tags: qiraa ، qurani tukufu
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: