IQNA

18:03 - April 18, 2021
News ID: 3473826
TEHRAN (IQNA)- Saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani humsaidia mja kuwa na nidhamu katika maisha.

Kwa mujibu wa Hujjatul Islam  wa Muslimin Muhsin Dadseresht, mwakilishi wa  Chuo Kikuu cha Kimataifa cha  Al Mustafa (SAW), moja ya nukta muhimu ya Mwezi wa Ramadhani ni kuwa mwezi huu husaidia katika kuleta mafanikio maishani kwa kumfunza mwanadamu nidhamu.

Ameongeza kuwa, kwa msingi huo saumu ya Ramadhani ni moja ya misingi muhimu ambayo humuwezesha mwanadamu kupata mafanikio maishani.

3474478

Tags: ramadhani ، saumu
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: