IQNA

Sanaa za mkono za Iran katika Jumba la Makumbusho la Sanaa za Kiislamu Malaysia

22:05 - September 20, 2021
Habari ID: 3474317
TEHRAN (IQNA)- Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na hamu sana ya sanaa za Kiislamu.

Ili kukidhi mahitaji ya hamu hiyo, Jumba la Makumbushi ya Sanaa za Kiislamu Malaysia, ambalo ni jumba kubwa zaidi la sanaa za Kiislamu Kusini -Mashariki mwa Asia, lilizinduliwa mwaka 1998. Kati ya vitu vya thamani katika maonyesho hayo ni sanaa za mikono zenye thamani kutoka Iran kama tunavyoshuhudia katika klipu na picha hapa chini.

 
 
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha