IQNA

22:33 - March 23, 2022
Habari ID: 3475069
TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Lebnon Mahmoud Karim katika klipu hii aliyoitayarisha maalumu kwa ajili ya IQNA anasema aya kuhusu machipuo ya maumbile.

"Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia. " Al Baqara 164

کد ویدیو
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* captcha: