IQNA

Vilele vya Qiraa / 57

Aya tano za kudumu kutoka kwa Qarii Ustadh "Abd al-Aziz Akasha" + Sauti

16:00 - May 28, 2023
Habari ID: 3477057
Mojawapo ya sera muhimu zaidi za IQNA ni kusambaza misingi ya kielimu na kuboresha kiwango cha maarifa ya usomaji wa Qur'ani ya watazamaji, wasikilizaji na wasomaji wetu wapendwa. Kwa ajili hiyo, sehemu bora na mashuhuri zaidi za visomo bora vya Qur'ani Tukufu vya maqarii wa Ulimwengu wa Kiislamu ambavyo vinafaa kuigwa na Maqari, vinawasilishwa na kusambazwa chini ya anuani ya"Vilele vya Qiraa".

Katika sehemu hii ya 57, utasikia vifungu vinavyosikika kutoka kwenye visomo vya kukumbukwa vya Ustadh "Abdulaziz Akasha".

عبدالعزیز عکاشه

 

captcha