IQNA – Hafla maalum imefanyika katika Haram Takatifu ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, kumuenzi Ayatullah Abdollah Javadi Amoli, mwanazuoni mwandamizi wa Kishia kutoka Iran, kwa mchango wake mkubwa na wa maisha yote katika kuandika tafsiri ya Qur’ani Tukufu na kufunza falsafa ya Kiislamu.
Habari ID: 3480686 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14
IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani, kiongozi mashuhuri wa kidini wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, amesifu tafsiri ya Qur'ani ya Tasnim iliyoandikwa na msomi wa Kiirani, Ayatullah Abdollah Javadi Amoli, akiitaja kuwa “chanzo cha fahari kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia.”
Habari ID: 3480681 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13
IQNA – Mwanazuoni Mwandamizi wa Kiislamu kutoka Iran Ayatullah Abdollah Javadi Amoli amesema Qur'ani na Ahl al-Bayt bado ni nguzo kuu za umoja kati ya Waislamu.
Habari ID: 3480662 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10
Tafsiri ya Qur'ani
IQNA - Sherehe imepangwa katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran mapema mwaka ujao ili kusherehekea kukamilika kwa Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ya Ayatullah Abdullah Javadi Amoli.
Habari ID: 3479903 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njama za Wazayuni za kupika majungu ya fitina ili kuibua mifarakano na kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli na kusisitiza kwamba, utawala huo wa Kizayuni karibuni utapigishwa magoti na wanamuqawama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3477180 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/22
Ayatullah Makarim Shirazi
Ayatullah Naser Makarim Shirazi,mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu mjini Qum nchini Iran amesema kuwa Uwahhabi uko mbali na Uislamu kwani wafuasi wa pote hilo wamepotosha Uislamu.
Habari ID: 3470232 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/07
Shekhe Mkuu wa Al Azhar Sheikh Ahmed el-Tayeb amesisitiza kuhusu umuhimu wa kudumisha umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3351450 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/25