fasiki

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa kidini nchini Saudi Arabia amekamatwa baada ya kukosoa sera za ufalme za kuwakaribisha watumbuizaji wa kimataifa wanaoeneza ufasiki na ufisadi wa kimaadili.
Habari ID: 3472126   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/11