Katika njia hii yote, Mawkib (vituo vya huduma za hisani) vinachukua nafasi muhimu sana katika kuwahudumia mazuwari kwa kuwapatia huduma mbalimbali za kijamii, kitiba, na kiutamaduni, na hivyo kudhihirisha kwa vitendo umoja, huruma, na ukarimu wa watu wa nyumba ya Mtume.