iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mji wa Lausanne nchini Usiwisi umewazuia wanandoa Waislamu kuchukua uraia wa nchi hiyo kutokana na msimamo wao wa kukata kupeana mkono na watu ajinabi.
Habari ID: 3471633    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/18

TEHRAN (IQNA)- Nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu zimesambazwa miongoni mwa Waislamu waliofika katika Msikiti wa Makka maarufu kama Masjid al-Haram katika msimu wa Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471632    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17

TEHRAN (IQNA)- Misikiti miwili imehujumiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza katika tukio la chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3471631    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri, Sheikh Mahmoud Ismail Sharif, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Habari ID: 3471630    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matamashi na lugha zisizo na adabu za viongozi wa Marekani kuhusiana na vikwazo, vita na mazungumzo na Iran kusema kuwa, tunasisitiza kwamba, hakutatokea vita na hatutafanya mazungumzo.
Habari ID: 3471628    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/13

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Qatar hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kutokana na idadi kubwa ya vizingiti ambavyo vimewekwa na utawala wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3471626    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/12

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Waislamu nchini China wamekusanyika katika msikiti mmoja kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika maandamano nadra ya kupinga mpango wa kuubomoa.
Habari ID: 3471625    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/11

TEHRAN (IQNA)- Kumeshuhudiwa ongezeko la asilimia 82 la chuki dhidi ya Waislamu katika jimbo la California nchini Marekani katika mwaka wa 2017 kufuatia kuchaguliwa Donald Trump kama rais.
Habari ID: 3471624    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/10

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amekosolewa upya kwa kutochukua hatua za kutosha za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia katika chama chake cha Wahafidhina (Conservative).
Habari ID: 3471622    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/10

TEHRAN (IQNA)- Waislamu zaidiya 90 nchini Marekani wanawania nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi za mitaa, jimbo na kitaifa mwaka huu.
Habari ID: 3471621    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/07

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kumteua mwanadiplomasia asiyekuwa Mwislamu kuwa balozi wa nchi hiyo Saudi Arabia.
Habari ID: 3471620    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/05

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua 31 na kujeruhi wengine zaidi ya 80.
Habari ID: 3471619    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/04

TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Uingereza kwa mara ya kwanza imetambua sheria za Kiislamu baada ya kutoa hukumu ambayo imeafiki ndoa iliyofanyika kwa mujibu wa sheria za Kiislamu yaani Nikah.
Habari ID: 3471617    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/03

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Muhammad amesema nchi yake ina azma ya kuwa taifa la Kiislamu lenye kufuata mafundisho ya Qur’ani na Hadithi sahihi.
Habari ID: 3471616    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/02

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Wakenya wanaoelekea Hija mwaka huu imeongezeka kwa waumini 800 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Habari ID: 3471615    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/01

TEHRAN (IQNA)- Wanachuo zaidi ya 200 waliohifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu wamehitimu katika Kituo cha Masomo ya Qur’ani cha Chuo Kikuu cha Bayero cha Jimbo la Kano (BUK).
Habari ID: 3471614    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kwanza ya Kuhifadhi Qur’ani Maalumu kwa ajiliya Waalimu wa shule katika mji wa Nairobi yamefanyika.
Habari ID: 3471613    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31

TEHRAN (IQNA)- Mwalimu mmoja aliyeivuinjia heshima Qur'ani Tukufu nchini Kenya katika eneo la kaskazini mashariki anatazmaiwa kufikishwa kizimbani.
Habari ID: 3471612    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/30

TEHRAN (IQNA)- Japan imezindua 'misikiti inayotembea' ambayo itatumika katika Michezo ya Olimpiki na Paralimpiki Tokyo mwaka 2020.
Habari ID: 3471611    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/29

TEHRAN (IQNA) Imran Khan, Mkuu wa chama cha Tehreek-e-Insaf (PTI) cha nchini Pakistan na kilichoshinda uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo amesisitiza kuwa chama chache kinataka kustawisha uhusiano mwema na majirani zake ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471609    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/27