TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopuingua sita wamepteza maisha na Madrassah ya Qur'ani kuharibiwa katika hujuma ya kundi la kigaidi la Al Shabab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3471658 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/03
TEHRAN (IQNA)- Wataalamu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa China kuwaachilia huru mara moja Waislamu wanaoshikiliwa katika kambi za kuwafunza Ukomunisti na kwa kisingizio cha kukabiliana na ugaidi.
Habari ID: 3471657 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/02
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Afrika Kusini imeamuru ndoa za Kiislamu zitambuliwe na serikali ili kuwalinda wanawake wakati wa talaka.
Habari ID: 3471655 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/01
TEHRAN (IQNA)-Shirika la haki za binadamu la Amnesty International limelaani hatua ya serikali ya Abuja ya kuwaweka kizuizini kinyume sheria Waislamu hasa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3471654 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/31
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani mpango wa kufanyika maonyesho ya katuni zenye kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu nchini Uholanzi.
Habari ID: 3471653 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/30
TEHRAN (IQNA)- Leo idadi ya Waislamu Marekani wanakadiriwa kuwa karibu milioni tatu na nusu lakini wengi hawajui ni kuwa Waafrika ndio waliokuwa miongoni mwa Waislamu wa kwanza katika nchi hiyo.
Habari ID: 3471651 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/29
TEHRAN (IQNA)- Kinara wa kundi la kigaidi linalofugamna na ISIS au Daesh nchini Mali ameuawa katika mapigano.
Habari ID: 3471650 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/28
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Ustawi wa Kiislamu Malaysia (Jakim) imetangaza kuwepo ongezeko la asilimia 10 la bidhaa halali zinazouzwa kimataifa kutoka nchi hiyo.
Habari ID: 3471649 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/27
TEHRAN (IQNA)-Kasisi wa kanisa moja nchini Ghana amelaumia kusababisha Benki ya Capital nchini humo kuanguka na kuwasabishia wateja hasara kubwa.
Habari ID: 3471648 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/26
ISLAMABAD (IQNA)- Kozi ya misingi ya Tajwidi katika kusoma Qur'ani Tukufu inafanyika nchini Pakistan kwa kutumia mtandao wa kijamii wa WhatsApp.
Habari ID: 3471647 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/26
TEHRAN (IQNA)- Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Matiafa UNICEF umelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya ndege za kivita za Saudia katika mkoa wa Hudaydha ambapo watoto 26 waliuawa.
Habari ID: 3471645 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/25
TEHRAN (IQNA)- Kitabu chenye anuani ya "Muziki katika Uislamu" kilichoandikwa na Dkt. Suhair Abdel-Azim kimechapishwa nchini Misri.
Habari ID: 3471644 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/24
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Myanmar kwa kukwamisha juhudi zinazolenga kuwafikia Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine wanaokabiliwa na hali mbaya.
Habari ID: 3471643 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/23
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wapalestina Jumanne wameswali Sala ya Idul Adha katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471642 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/22
TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 49 iliyopita, inayosadifiana na 21 Agosti 1969, Masjidul Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu, kilichomwa moto na Wazayuni.
Habari ID: 3471641 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/21
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika mjini Makka Jumapili kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa.
Habari ID: 3471640 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu 1439 Hijria
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake kwa Mahujaji kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.
Habari ID: 3471639 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20
TEHRAN (IQNA)- Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametangaza usitishwaji vita wenye masharti na kundi la wanamgambo wa Taliban kabla ya SIku Kuu ya Idul Adha kuanzia Jumatatu.
Habari ID: 3471637 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Waisalmu milioni mbili kutoka maeneo yote ya dunia wamejumuika katika mji mtakatifu wa Makka kuanza Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471636 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/19
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki dunia nchini Uswisi baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Habari ID: 3471634 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/18