iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Meya wa mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini Patricia de Lille amesema idadi Watalii Waislamu wanatarajiwa kuwa kati watakaoleta pato kubwa mjini humo.
Habari ID: 3471710    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/16

TEHRAN (IQNA)- Wasomi kutoka nchi mbali mbali wamekutananchini Uturuki kujadili changamoto za ulimwengu wa Kiislamu chini ya anuani ya 'Kongamano la Kimataifa la Ummah wa Kiislamu."
Habari ID: 3471709    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/15

Kiongozi wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatumia sera ya kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran kwa shabaha ya kutaka kuuza silaha za mabilioni ya dola kwa nchi za Kiarabu.
Habari ID: 3471706    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/13

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza mpango wa kuandaa kongamano la ‘Mustakabali wa Ulimwengi wa Kiislamu Kufikia Mwaka 2035.’
Habari ID: 3471705    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/09

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika jimbo la Ohio nchini Marekani wameanzisha mkakati maalmu wa kuhakikisha kuwa wakaazi wote wa eneo hilo wanapata ufahamu sahihi kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3471703    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/08

TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa mahaka za Msumbiji wametangaza kuwa wamewahukumu wanachama 200 wa kundi la al Shabab la magaidi wakufurishaji.
Habari ID: 3471702    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, majimui kubwa ya vijana wa nchi na taifa kubwa la Iran litaushinda wenzo wa mwisho wa adui yaani vikwazo na kutoa kipigo kingine dhidi ya Marekani.
Habari ID: 3471701    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/04

TEHRAN (IQNA)-Jana Jumanne, Bunge la Iraq lilimchagua Barham Salih, kuwa rais mpya na Adil Abdul Mahdi kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471700    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/03

TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja umehujumiwa huko Ujerumani katika mji wa Gladbeck katika jinai ambayo inasadikiwa imetekelezwa na wanazi mamboleo wanaowachukia Waislamu.
Habari ID: 3471699    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/02

TEHRAN (IQNA)-Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametakuwa kusikiliza sauti za Waislamu kabla ya kukamilisha rasimu ya sheria mpya za Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471698    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/01

TEHRAN (IQNA)- Qarii (msomaji wa Qur'ani) ameibuka mshindi katika Mashindano ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Croatia yaliyomalizika Jumamosi.
Habari ID: 3471697    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/30

TEHRAN (IQNA)- Afrika Kusini imesisitiza kuwa sera zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel zinabaki pale pale.
Habari ID: 3471695    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/29

TEHRAN (IQNA)- Jengo moja ambalo limekuwa likitumiwa kama kanisa kwa muda mrefu mjini Humburg nchini Ujerumani sasa limegeuzwa na kuwa msikiti.
Habari ID: 3471694    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/28

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya watu wanaokumbatia dini tukufu ya Kiislamu nchini Norway inazidi kuongezeka ambapo katika miaka ya hivi karibuni Wanorway wasiopungua 3000 wamesilimu.
Habari ID: 3471693    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/27

TEHRAN (IQNA)- Hofu imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Italia baada ya serikali yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia kuchukua madaraka nchini humo.
Habari ID: 3471692    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/26

Rais Rouhani akihutubu katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amesema Marekani ilikiuka sheria kinyume na misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3471691    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/26

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu wameshiriki katika matembezi ya Siku ya Waislamu katika eneo la Manhattana mjini New York nchini Marekani.
Habari ID: 3471688    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/25

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na makumi ya wananchama wa kundi hilo wamehukumiwa kifungo cha maisha jela .
Habari ID: 3471687    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullha Sayyed Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kwa familia za mashahidi wa tukio chungu la hujuma ya kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran leo asubuhi.
Habari ID: 3471686    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/22

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wanaopata himaya Uingereza na Saudi Arabia wameshambulia gwaride ya kijeshi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran na kuua shahidi watu kadhaa wakiwemo wanawake na watoto.
Habari ID: 3471685    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/22