TEHRAN (IQNA)- Uhusiano rasmi baina ya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Utawala wa Kifalme Saudi Arabia unatazamiwa kutangazwa rasmi katika kipindi cha miezi michache ijayo.
Habari ID: 3471765 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/09
TEHRAN (IQNA)- Mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa nje ya msikiti katika mtaa wa Springs, mji wa Ekurhuleni eneo la East Rand mkoani Gauteng Afrika Kusini.
Habari ID: 3471764 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/08
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 20 ya Wiki ya Qur'ani Tukufu nchini Algeria imefanyika huku kukitolewa wito wa kuhakikisha watoto wanajifunza Qur'ani.
Habari ID: 3471763 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/07
TEHRAN (IQNA)- Kamishna MKuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kubaini mhusika wa mauaji ya mwandishi habari Msaudi Jamal Khashoggi.
Habari ID: 3471762 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/05
TEHRAN (IQNA)- Mtoto wa miaka 7 kutoka mji wa Luton nchini Uingereza amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ikiwa ni katika kufuata nyayo za dada yake ambaye pia alifanikiwa kufanya hiyo miaka miwili iliyopita wakati akiwa na umri huo huo.
Habari ID: 3471761 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/04
TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa kuhusu changamoto katika kazi ya tarjuma ya Qur'ani limefanyika Casablanca, Morocco hivi karibuni.
Habari ID: 3471758 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/02
TEHRAN (IQNA) Kanali yaTelevisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mchambuzi wake wa muda mrefu kwa sababu ya kukosoa ukatili na udhalimu wa utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Habari ID: 3471757 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/01
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Morocco imetangaza mpango wa kukarabati misikiti zaidi ya 1,000 nchini humo na imetaka ushirikiano wa sekta mbali mbali katika kufikia lengo hilo.
Habari ID: 3471755 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/29
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Majeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28
TEHRAN (IQNA)- Mji wa Osaka, Japan umeimarisha mikakati yake ya kusambaza bidhaa na huduma halali kwa lengo la kuwavutia watalii na wafanyabiashara Waislamu.
Habari ID: 3471753 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umoja, mshikamano na kauli moja ya ulimwengu wa Kiislamu vitazishinda njama za maadui.
Habari ID: 3471752 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/26
Kiongozi wa Hamas
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amehutubu katika Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran na kusema: "Utawala wa Kizayuni ni adui mkuu wa Umma wa Kiislamu."
Habari ID: 3471750 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/24
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataka mataifa ya Waislamu kuungana na kusimama imara kukabiliana na siasa za chuki za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471749 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/24
TEHRAN (IQNA)- Watoto zaidi ya 84,700 wa Yemen wamepoteza maisha kutokana na makali ya njaa na utapiamlo, tangu Saudi Arabia ianzishe vita dhidi ya nchi hiyo maskini jirani yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3471748 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/22
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 53 wameuawa shahidi katika shambulizi la kigaidi lililolenga mkusanyiko wa Waislamu waliokuwa katika sherehe za Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Habari ID: 3471747 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/21
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Brazil imezindua kampeni yenye anuani ya "Muhammad SAW, Mtume wa Walimwengu" kwa lengo la kumuarifisha Mtume Mtukufu wa Uislamu.
Habari ID: 3471746 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/20
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kidini ya Tunisia imeandaa kongamano kuhusu Seerah ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471744 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/18
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madehehbu za Kiislamu amesema wanazuoni, wanaharakati wa kisiasa na wasomi kutoka nchi 100 wamealikwa kushiriki katika Kongamano la 32 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu ambalo limepangwa kufanyika mjini Tehran.
Habari ID: 3471743 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/17
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewapongeza wanamichezo wa kike Wairani ambao wanashiriki katika michezo ya kimataifa wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471741 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/14
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa China unaendelea kupuuza malalamiko ya dunia kuhusu kuendelea kuteswa Waislamu waliowachache nchini humo.
Habari ID: 3471740 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/13