iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Ujerumani wameituhumu serikali ya jimbo la Bavaria kuwa ina sera za undumakuwili baada ya kuamuru idara zote za umma kuweka misalaba katika maeneo maalumu.
Habari ID: 3471540    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/02

TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa raia sita wa Bahrain kwa kisingizio cha kushiriki kwenye machafuko yaliyotokea nchini humo.
Habari ID: 3471539    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/01

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani nchini Sierra Leonne wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran katika mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown
Habari ID: 3471538    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/31

TEHRAN (IQNA) – Kutokana na Waislamu kuswali mara tano kwa siku katika sala za jamaa misikitini, suala la usafi na unadhifu ni muhimu sana na limetiliwa mkazo katika mfundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3471537    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/30

TEHRAN (IQNA)- Ustadh Twahir Ali Alwi kutoka Kenya ameibuka mashindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Zanzibar.
Habari ID: 3471536    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/29

TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya Kimataifa ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani ya Tazania yamefanyija Jumapili katika mji mkuu wa nchi hiyo Dar-es-Salaam.
Habari ID: 3471535    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28

TEHRAN (IQNA)- Kitengo cha kimataifa cha Maonyesho ya 26 ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kilizinduliwa Jumapili katika siku ya 11 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471534    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika maeneo yote duniani wanaendelea na saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo baadhi ya maeneo muda wa saumu ni masaa 11 na baadhi ya maeneo karibu karibu masaa.
Habari ID: 3471533    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/27

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 7 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu yamepangwa kufanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzia Mei 27-31.
Habari ID: 3471532    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/26

TEHRAN (IQNA)-Baraza La Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limewasilisha malalamiko mahakamani baada ya kubainika kuwa wafungwa katika jimbo la Alaska wanalishwa nyama ya nguruwe katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471530    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/25

TEHRAN (IQNA)- Misitiki yote nchini China imetakiwa kupeperusha bendera ya taifa hilo katika maeeneo ya juu na muhimu ya msikiti, Jumuiya ya Kiislamu China imetangaza.
Habari ID: 3471527    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/22

TEHRAN (IQNA)- Pamoja na kuwa atashiriki katika mechi muhimu zaidi ya soka katika maisha yake, yamkini nyota wa Liverpool Mohammad Salah akafunga saumu ya Ramadhani katika siku ya mechi na Real Madrid ya Fainali ya Mabingwa wa Ulaya.
Habari ID: 3471526    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/22

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Uturuki yameanza Jumapili mjini Istanbul.
Habari ID: 3471525    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21

TEHRAN (IQNA) Mkuu wa Halmasahuri ya Mapatano Uganda (URA) amekanusha taarifa kuhusu kuwepo mpango wa kutoza ushuru nakala za Qur'ani Tukufu na Bibilia.
Habari ID: 3471524    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21

TEHRAN (IQNA)-Duru ya 26 ya Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yamefunguliwa Jumamosi jioni.
Habari ID: 3471523    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/20

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 25 ya Mashidano ya Qur’ani ya Watoto wa kike na kiume yameanza nchini Qatar Mei 18.
Habari ID: 3471522    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/20

Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa nchi za Kiislamu na mataifa mengine duniani kukata uhusiano wao kikamilifu na utawala haramu wa Israel na kuangalia upya uhusiano na Marekani kama njia ya kujibu sera hasimu za tawala hizo mbili dhidi ya watu wa Palestina.
Habari ID: 3471521    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/19

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri kinapanga mashindano ya Qur'ani maalumu kwa wanachuo wa kigeni chuoni hapo.
Habari ID: 3471519    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/19

TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitumu wanafunzi 200 waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu yamefanyika katika Kituo cha Kufunza Kiarabu na Sayansi za Kiislamu nchini Mauritania.
Habari ID: 3471517    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/17

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamewatumia Waislamu na viongozi wa nchi za Kiislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471516    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/17