Ahul Bayt AS
IQNA – Katika Sura Al-Kawthar ya Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu Mtukufu amemneemesha Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) kwa kumpa “Kawthar,” ili kuinua roho yake na kubainisha kuwa wale wanaomsema vibaya ni wao wenyewe watakaosalia bila ya vizazi.
Habari ID: 3479936 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/22
Mtazamo kuhusu Maisha ya Bibi Zahra (SA)/2
IQNA – Baada ya Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kugura kutoka Makka kwenda Madina, kulikuwa na wanaume wengi ambao walitaka kumuoa binti yake.
Habari ID: 3479878 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08
Ahlul Bayt (AS)
IQNA - Maelfu ya wafanyaziara walikusanyika huko Karbala, Iraq siku ya Alkhamisi kuomboleza katika kumbukumbu ya kuuawa shahidi Bibi Zahra (SA), binti yake Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479864 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06
Ahlul Bayt (AS)
IQNA – Wafasiri wa Qur’ani wanaamini kwamba aya 130 za Qur’ani Tukufu zinamhusu Bibi Fatima (SA) na familia yake, mwanachuoni wa Kiislamu amesema.
Habari ID: 3479863 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06
Ahlul Bayt AS
IQNA - Kuashiria kumbukumbu ya kifo cha kishahidi cha Bibi Fatima Zahra (SA), bendera ya Fatemi ilipandishwa katika hafla ya maombolezo katika Chuo Kikuu cha Al-Kawthar huko Islamabad, Pakistan.
Habari ID: 3479862 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06
Fikra
TEHRAN (IQNA)- Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Jamadi Thani sawa na 05 Disemba 2024. Siku kama ya leo miaka 1435 iliyopita alikufa shahidi Bibi Fatima al Zahra (SA), binti mtukufu wa Mtume wetu Muhammad (SAW) na mke wa Imam Ali bin Abi Twalib (AS).
Habari ID: 3479858 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/05
Maombolezo
IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei ameshiriki katika hafla ya maombolezo ya kukumbuka kufa shahidi Bibi Fatima Zahra (SA).
Habari ID: 3479853 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/04
Mnasaba
IQNA - Programu maalum za Qur'ani na ibada za maombolezo kwa wanawake zilifanyika Karbala katika kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima Zahra (SA).
Habari ID: 3479776 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/19
Makala
IQNA-Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
Habari ID: 3478135 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02
TEHRAN (IQNA)- Leo ni Jumatano tarehe Tatu Jamadithani 1441 Hijria sawa na 29 Januari 2020. Siku kama ya leo, miaka 1430 iliyopita, sawa na tarehe tatu Jamadithani mwaka wa 11 Hijiria alikufa shahidi Bibi Fatimatu Zahra SA, binti wa Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali Bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3472415 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/29