iqna

IQNA

bunge
Siasa
Mrengo wa upinzani nchini Kuwait kwa mara nyingine tena umeshinda wingi wa viti vya Bunge nchini humo katika uchaguzi mkuu wa saba wa nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi huku kukiwa na matumiani kuwa ushindi huo utafanikisha vita dhidi ya ufisadi nchini humo.
Habari ID: 3477118    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Kulingana na ripoti, wagombea Waislamu wa Marekani wamepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula Jumanne uliofanyika katika ngazi za bunge la kitaifa, majimbo na mitaa.
Habari ID: 3476073    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11

Hali ya Iraq
TEHRAN (IQNA)- Bunge la Iraq limeipasisha serikali ya Waziri Mkuu Mohammad Shia al-Sudani baada ya kuipigia kura ya kuwa na imani nayo.
Habari ID: 3475998    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28

Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Alkhamisi tarehe 26 Mei, 2022, Bunge la Iraq lilipasisha kwa kauli moja sheria ya kutambua kuwa ni uhalifu, hatua yoyote ya kuweka uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475306    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

Kiongozi Muadhamu na Masuala ya Kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha sababu za hali maalumu duniani sasa na kusema kusema katika hali ya sasa ya dunia, uendeshaji mambo umekuwa mgumu kwa nchi zote.
Habari ID: 3475295    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25

TEHRAN (IQNA)-e Baraza la Wawakilishi la katika Bunge la Congress nchini Marekani limepasisha muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia licha ya kupingwa na wa bunge wote wa chama cha Republican cha Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani mwenye chuki na uadui mkubwa na Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3474680    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa vita vya vyombo vya habari vya maadui vimevizidi nguvu na kasi vita vya kiuchumi na kwamba hata maadui wa mapinduzi wananufaika na vita hivyo vya vyombo vya habari katika vita vyao vya kiuchumi dhidi ya mataifa mengine.
Habari ID: 3474416    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/12

TEHRAN (IQNA)- Chama katika muungano tawala nchini Morocco kimepata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge, kulingana na matokeo ya muda yaliyotangazwa na Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afriika.
Habari ID: 3474275    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi anasema amechagua baraza la mawaziri ili kuboresha uchumi na kupambana na ufisadi.
Habari ID: 3474212    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21

TEHRAN (IQNA) - Wa bunge 200 wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa tamko la pamoja la kutaka kufutwa vikwazo vyote ilivyowekewa Iran.
Habari ID: 3473924    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu nchini Iran (Bunge) amesema kuwa moyo wa Umma wa Kiislamu unaendelea kudunda kwa ajili ya Palestina, na Umma na makundi ya mapambano dhidi ya Uzayuni yataendelea kusimama kidete na kutetea malengo ya ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3473915    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16

TEHRAN (IQNA)- Wa bunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) leo wamejadidisha kiapo cha utii kwa malengo ya Imam Khomeini, Mwenyezi Mungu Amrehemu, katika Haram ya muasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3473610    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/01

TEHRAN (IQNA) - Watu wasiopungua wanne wameuawa baada ya waandamanaji wenye vurugu kuvamia Bunge la Marekani, Congress, mjini Washington DC wakitaka matokeo ya uchaguzi wa rais wa Novemba 3 yaliompa ushindi Joe Biden yabatilishwe.
Habari ID: 3473532    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/07

TEHRAN (IQNA)- Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
Habari ID: 3473501    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/28

TEHRAN (IQNA) - Wa bunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelitaka Shirika la Atomiki la Iran kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20 kwa ajili ya matumizi ya amani.
Habari ID: 3473412    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/01

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema nuru ya Mtume Mtukufu wa Uislamu, SAW, haiwezi kuzimwa kwa njama za maadui wa Kiislamu na kwamba njama hizo zitarejea kuwadhuru wao wenyewe.
Habari ID: 3473296    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/26

TEHRAN (IQNA) –Wajumbe wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) leo wametoa taarifa ya pamoja na kulaani vikali kujunija heshima Mtume Muhammad SAW pamoja na Qur’ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3473161    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/12

Zarif akihutubu katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, wizara yake inatekeleza mkakati wa kusambaratisha njama za kiuchumi za Markeani dhidi ya Iran.
Habari ID: 3472930    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/05

TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua athirifu za kukomesha jinai za utawala haramu wa Israel, hususan mpango wa utawala huo ghasibu wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina.
Habari ID: 3472922    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/02

TEHRAN (IQNA) - Mohammad Bagher Qalibaf amechaguliwa kuwa spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Kikao cha kumchagua spika wa bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu kimefanyika Alhamisi asubuhi.
Habari ID: 3472810    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/28