IQNA – Serikali ya Maldives ( Maldivi ) imetangaza kuwa sasa kuna zaidi ya watu 280 waliothibitishwa kama ma-Hafidh wa Qur'an, huku wengine zaidi ya 1,500 wakiendelea na programu za kuhifadhi Qur'an, kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Kiislamu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3481311 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/01
IQNA – Serikali ya Maldivi (Maldives) inakusudia kuanzisha matawi ya Kituo cha Qurani katika visiwa vyote vya nchi hiyo.
Habari ID: 3481284 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/26
Harakati za Qur'ani Tukuuf
IQNA - Rais wa Maldivi (Maldives) Mohamed Muizzu amesisitiza azma ya serikali yake ya kuendeleza ufundishaji wa Qur'ani Tukufu na kuunga mkono walimu wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3478067 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/21
TEHRAN (IQNA) – Rais Ibrahim Mohamad Solih wa Malidivi misikiti itafunguliwa tena kuanzia Julai Mosi kwa ajili ya Swala za jamaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Male.
Habari ID: 3472913 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30