iqna

IQNA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Amir- Abdollahian
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Utawala bandia wa Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani huku akisisitiza kuwa kura ya maoni ni njia muafaka ya kuainisha mustakabali wa Palestina.
Habari ID: 3475179    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/28

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Algeria wameunga mkono mabadiliko ya katiba katika kura ya maoni iliyofanyika Novemba mosi nchini humo.
Habari ID: 3473321    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02