nato

IQNA

IQNA – Mwenyekiti wa Baraza la Juu la Kisiasa la Yemen amerejelea mkataba wa ulinzi wa pamoja kati ya Pakistan, Uturuki, na Saudi Arabia, akisema kuwa makubaliano ya namna hiyo hayana athari yoyote kwa hali ya mambo nchini Yemen, kwani mlinganyo wa “mzingiro dhidi ya mzingiro” utaendelea kubaki pale pale hadi malengo yake yatakapofikiwa.
Habari ID: 3482597   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/08

IQNA – Mwanasiasa na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Iran ametoa wito kwa nchi zenye Waislamu wengi kuunda umoja wa kisiasa na kiuchumi ili kuimarisha msimamo wao wa pamoja dhidi ya miungano ya mataifa ya Magharibi kama vile NATO na Umoja wa Ulaya.
Habari ID: 3481270   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/22

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema eneo la Asia Magharibi halidhibitiwi tena Marekani, na kwamba hivi sasa lipo katika mikono ya mataifa ya Waislamu.
Habari ID: 3475447   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na Rais wa Kazakhstan na kusema tatizo kuu katika kadhia ya Ukraine ni kuwa, nchi za Magharibi zina mpango wa kupanua muungano wa kijeshi wa NATO.
Habari ID: 3475400   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20

TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Moscow alionyesha kuunga mkono uamuzi wa Rais wa Russia Vladimir Putin wa kutambua maeneo yaliyojitenga ya Lugansk na Donetsk mashariki mwa Ukraine kama jamhuri huru.
Habari ID: 3474965   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23

TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi tisa wa Australia wamejiua katika kipindi cha wiki tatu baada ya ripoti kufichua jinai zilizotendwa na Kikosi cha SAS cha Jeshi la Australia nchini Afghanistan.
Habari ID: 3473387   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23