iqna

IQNA

Hijazi
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa mkono wa pole na kueleza juu ya kusikitishwa kwake na kifo cha Brigedia Jenerali Mohammad Hosseinzadeh Hijazi , Naibu Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambaye ameaga dunia usiku wa kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 65, kutokana na mshtuko wa moyo.
Habari ID: 3473829    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/19

Nakala ambayo yumkini ikawa miongoni mwa nakala za zamani zaidi za kitabu kitakatifu cha Qur’ani Tukufu imegundulwia nchini Uingereza.
Habari ID: 3332252    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22