iqna

IQNA

sistani
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Imamu Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri Sheikh Ahmed al-Tayyeb anaripotiwa kupanga kusafiri kuelekea Iraq.
Habari ID: 3476965    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/06

Waislamu Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi mkuu wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq Ayatullah Seyed Ali al-Sistani amehimiza jumuiya ya kimataifa na Waislamu kote ulimwenguni kuunga mkono watu "wanaoteseka" nchini Afghanistan.
Habari ID: 3476357    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/04

Mazungumzo baina ya dini
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani amsisitiza haja ya kuzingatiwa maadili ya mshikamano unaotilia mkazo kuheshimiana miongoni mwa wafuasi wa imani au dini mbali mbali.
Habari ID: 3476219    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08

TEHRAN (IQNA)- Marjaa mkuu wa Kishia nchini Iraq kwa mara nyingine tena ametangaza uungaji mkono wake kwa 'mapambano ya kishujaa ya taifa lenye heshima la Palestina' katika kukabiliana na Wazayuni maghasibu na kutoa wito kwa mataifa yote huru duniani kuwaunga mkono Wapalestina.
Habari ID: 3473902    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/12

Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Najaf, Iraq katika hotuba zake jana amesema kuwa, ‘maeneo mengi ya Iraq yamekomboloewa kutokana na baraka ya fatwa ya Jihad al-Kifai iliyotolewa na Ayatullah Sistani.’
Habari ID: 3313860    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13

Ayatullah Ali Sistani, kiongozi mkuu wa kidini wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq amewataka raia wa nchi hiyo kujiepusha na aina yoyote ya hatua za kidini au ukabila zinazoweza kuvunja umoja wao sambamba na kuacha matumizi ya silaha kinyume cha sheria.
Habari ID: 1418402    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/16