Ukombozi wa Palestina
IQNA-Ismail Haniyah, Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema bila shaka utawala wa Kizayuni wa Israel hatimaye utaondolewa katika maeneo yote ya Wapalestina.
Habari ID: 3478831 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wanaharakati walifanya maandamano katika miji tofauti nchini Morocco kulaani hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478825 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/15
TEHRAN (IQNA)- Miaka 73 iliyopita, utawala bandia wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya mauaji makubwa ya umati dhidi ya Wapalestina. Siku hii inajulikana kama Siku ya Nakba.
Habari ID: 3473912 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/15