wakrsito

IQNA

IQNA – Kiongozi wa Kikristo katika Jimbo la Kaduna nchini Nigeria amemuenzo mwanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Usman Mohammed Mai-Mota (Gwalli), kwa kutambua mchango wake wa zaidi ya nusu karne katika kutoa elimu ya Kiislamu na kuwafundisha maelfu ya vijana, katika juhudi za kuimarisha kuishi kwa amani na mshikamano kati ya Wakristo na Waislamu.
Habari ID: 3482651   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/20

TEHRAN (IQNA)- Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.
Habari ID: 3474047   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27