TEHRAN (IQNA)- Rais Kais Saied wa Tunisia amemetua Najla Bouden Romdhane , kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi hiyo, baada ya kupita takribani miezi miwili tangu alipohodhi madaraka yote ya nchi, hatua iliyoelezwa na wapinzani wake kama mapinduzi ya kijeshi.
Habari ID: 3474359 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29